Today i met a lady who use to be my Diehard Customer when i was selling clothes back in the days before being who i am Today....it reminds me alot!
(Leo nlikutana na Dada ambae alikuwa ni Mteja wangu Mkubwa Pindi nlipokuwa nauza Mitumba... imenikumbusha mengi sana, Tabu, Shida, Kudharaulika, Manyanyaso na na Mateso ya kila aina hadi kufikia Hapa... halaf eti leo kufikia hapa kidogo tu eti boya anajaribu kunishusha, Ntaacha vipi Kuzaa Nae!!!) @Zayskyna @Zayskyna
19,807 likes
 • diamondplatnumzToday i met a lady who use to be my Diehard Customer when i was selling clothes back in the days before being who i am Today....it reminds me alot!
  (Leo nlikutana na Dada ambae alikuwa ni Mteja wangu Mkubwa Pindi nlipokuwa nauza Mitumba... imenikumbusha mengi sana, Tabu, Shida, Kudharaulika, Manyanyaso na na Mateso ya kila aina hadi kufikia Hapa... halaf eti leo kufikia hapa kidogo tu eti boya anajaribu kunishusha, Ntaacha vipi Kuzaa Nae!!!) @Zayskyna @Zayskyna

 • mampizambiaI was touched too my dade @tehillah_wonder God is good
 • tehillah_wonder@mampithequeendiva ati afumya apa afiisha apa.. (Kaya bemba) His is a good God
 • erastofmwashaWaaambie waaache uboya tutawananiii hawajui hustle zimetoka wapi wakuja kudandia gari kwa mbele
 • i_am_abizo_lebeseOngea ww kaka
 • hawakitoiHakushushi mtu chini diamond.you will always be on top my dear.be blessed
 • sadam_junior_do_santosTmj
 • sadam_junior_do_santosTmj
 • saluumedy012We mkaal san
 • _sue_darlinnNice one💜💗💘
 • boby_cashyNakuakeshi
 • ahmadmwasakatika kauli zako zote unaongea hii utoa la moyoni sanaaa wapo wengi sana dizaini hii big up ikiziwezekana mmmmmm...........
 • anna_mateleDiamond ningekuwa na uwezo N ingekupa mkono ni jambo jema sn kuamua kuwa na maisha ya mke na zari ameamua kuzaa haijalishi zari anawatoto wangp lkn umempenda sn na nakusihi usije muacha sbb hakuna hata mmoja aliweza kutaka kukuzalia tulia mwanamke mstarabu sn hana uswahili aache watukane mpk wachoke usiku watalala wangezaa na Wao utakaaje bila mtoto
 • chibu_platnenga😁😁😁
 • tattymwakaKweli aisee
 • jessykimsKweli wen jesus say yes no bad says no.bravoo
 • sophia_laheemdah. ww noma bro fanya yako bhana
 • irena_the_artistU started from zero? That's what I'm trying to do
 • dianamakobaHongelaa brooo hilo ndo linatakiwaa
 • shazmin_khan_I guess we all start from somewhere...
 • matundiroNaomb unisaidie bro nin kipaji cha kurap @diamondplatnumz
Log in to like or comment.